Hali ya Haki za Watoto Tanzania: Taarifa ya Utafiti Juu ya Hali Halisi ya Kisheria na Kiutendaji

This document was uploaded by one of our users. The uploader already confirmed that they had the permission to publish it. If you are author/publisher or own the copyright of this documents, please report to us by using this DMCA report form.

Simply click on the Download Book button.

Yes, Book downloads on Ebookily are 100% Free.

Sometimes the book is free on Amazon As well, so go ahead and hit "Search on Amazon"

"Lengo kuu la utafiti huulilikuwa ni kubainisha hali halisi kuhusu usimamizi wa haki za watoto wanaokabiliwa na makosa ya jinai nchini, kwa minajili ya kuangalia ni kwa namna gani marekebisho katika mfumo wa sera na sheria kuhusu swala zima la haki za watoto yanaweza kufanywa. Utafiti huu pia ulilenga katika kubainisha ukiukwaji wa haki katika vyombo vilivyokabidhiwa dhamana ya kulinda haki za watoto wanaokabiliwa na makosa ya jinai nchini, kwa upande mmoja; na kwa upande mwingine, ulilenga katika kuweka kumbukumbu za kesi ambazo kwazo twaweza kung'amua kiwango cha usimamizi mzuri au usimamizi mbovu wa haki za watoto nchini." - dibaji Research report on the situation of children's rights in Tanzania.

Publisher: Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Centre)

Language: Kiswahili (Swahili)
Pages: 56